Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, ni moja ya hospitali kubwa Ulaya maalumu kwa ajili ya watoto wanaougua kansa.

Waliolengwa ni magaidi ya Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye hospitali hiyo.

Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.

Before
20240708_141915.jpg



After
20240708_141905.jpg
20240708_141820.jpg
20240708_141826.jpg
20240708_141659.jpg

20240708_141701.jpg
 
Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, pia ni moja ya hospitali kubwa Ulaya kwa watoto wanaougua kansa.

Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.

Before
View attachment 3036563


After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568
Pole mkuu kwa kuangukia propaganda.
Kwa vile umelishwa picha na hujelewi, ujue hapo palikuwa na mizinga hapo imewekwa na ili ikipigwa kitokee kilio kama unachokipigia chapuo.
Mrusi si mjinga!
 
Sheria za vita jeshi wakikimbikia kwenye shule au hospital au kuficha silaha sehemu hizo zinakuwa ni military sites zinaweza kulipuliwa TU. Na hii haihesabiki na uhalifu wa kivita kwa mpigaji Bali aliyepeleka jeshi au silaha ndio huwa mtuhumiwa
 
Back
Top Bottom