Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #21
Si pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwambaš¤£š
Kuna magaidi yalijificha hapo
Pia unakumbuka shambulizi la beach kule Crimea watoto 2 waliuawa. Russia wamelipiza kisasi
Pia unakumbuka shambulizi la beach kule Crimea watoto 2 waliuawa. Russia wamelipiza kisasi