Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #61
Mkuu, usibweteke na hiyo propaganda ya Ukraine nanchi za magharibi.
Russia hawawezi kupiga makombora hospitali.
Hiyo hospitali imedunguliwa na makombora ya AD ya Ukraine yalokuwa yakijibu mapigo ya Russia na ndo yakadondokea kwenye hiyo hospitali.
Jeshi la anga la Russia likuwa na shughuli ya kuharibu mabohari yalosheheni silaha za akila aina zikiwemo za Strom Shadow.
Sema hilo eneo la viwanda au Industrial Complex lipo karibu na hiyo hospitali.
Pia wahandisi wa kigeniwalokuwa wakitayarisha silaha hizo wote wameuawa.
Yeah, waliolengwa ni magaidi ya Ukraine