Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Russia piga hayo magaidiOkhmatdyt hospital iliyoko Kiev, pia ni moja ya hospitali kubwa Ulaya kwa watoto wanaougua kansa.
Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.
Before
View attachment 3036563
After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568
Pole sana kwa maumivu unayoyapata muyukreini wa KitundaDikteta ameamua kuuwa watoto baada ya kushindwa kuteka Kiev
Mifumo ya anga imeenda wapi 😀Dikteta ameamua kuuwa watoto baada ya kushindwa kuteka Kiev
Pole mkuu kwa kuangukia propaganda.Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, pia ni moja ya hospitali kubwa Ulaya kwa watoto wanaougua kansa.
Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.
Before
View attachment 3036563
After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568
Walificha Silaha humo eeh sawasawa Putin gooo!Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, pia ni moja ya hospitali kubwa Ulaya kwa watoto wanaougua kansa.
Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.
Before
View attachment 3036563
After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568
mgoni wako akikimbilia chumbani kwa mama mkwe mlango pazia utamuacha?Dikteta ameamua kuuwa watoto baada ya kushindwa kuteka Kiev
Pole mkuu kwa kuangukia propaganda.
Kwa vile umelishwa picha na hujelewi, ujue hapo palikuwa na mizinga hapo imewekwa na ili ikipigwa kitokee kilio kama unachokipigia chapuo.
Mrusi si mjinga!
Si pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂Dikteta ameamua kuuwa watoto baada ya kushindwa kuteka Kiev