Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #21
Si pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂
Hapo itakua kuna magaidi ya NATO yalijificha Putin huwa hakosei.Dikteta ameamua kuuwa watoto baada ya kushindwa kuteka Kiev
Putin hawezi kufanya huo unyama li air defense la Ukraine lime feli na kuangukia hospitali.Imekuwaje tena putin kafanya ugaidi wa waisrael.. Kupiga hospitali hapana kwa kweli.
Double standardSi pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂
Alaa tit for tat jino kwa jino basi waukraine na wao wakifanya yao kwa migaidi ya kirusi iliyovamia nchi huru ya ukraine putinnya asilielie kwamba ohhh wamesaidiwa na US mara ohh russia ina nyukliaKuna magaidi yalijificha hapo
Pia unakumbuka shambulizi la beach kule Crimea watoto 2 waliuawa. Russia wamelipiza kisasi
Si waliondoka nchiniOkhmatdyt hospital iliyoko Kiev, pia ni moja ya hospitali kubwa Ulaya kwa watoto wanaougua kansa.
Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.
Before
View attachment 3036563
After
View attachment 3036564View attachment 3036565View attachment 3036566View attachment 3036567
View attachment 3036568
Wale wanazi Huwa wanajificha kwenye hospitali na schule, naamini commanding post ilikuwa hapo. Waache kulia lia, acha Russia awapelekee moto.Dikteta ameamua kuuwa watoto baada ya kushindwa kuteka Kiev
Zelensky analinda uhuru na mipaka ya nchi yake.Simuonei huruma zelensky maana kayataka mwenyewe. Russia analinda maslahi ya nchi yake.
Alaa tit for tat jino kwa jino basi waukraine na wao wakifanya yao kwa migaidi ya kirusi iliyovamia nchi huru ya ukraine putinnya asilielie kwamba ohhh wamesaidiwa na US mara ohh russia ina nyuklia
Si waliondoka nchini
Ubavu wa kujibu tu ondoa shaka wanao vizuri tu si juzi tu hapa crime ilikung'utwa kombora putinnya akahamaki akisema kuwa US ndo walikuwa behind the sceneKama wana ubavu huo
Watoto na wanawake wakati vita inaanza imekuaje tena?Akina nani?
Sisi Warusi Wa Tandahimba tunasema mkipeleka Silaha hata Monchuary hatutapaacha salama tunapeleka Iskander tu...Si pro russia husema putin anapiga kambi za jeshi why leo putinnya anapiga hospital tena ya watoto, kama yeye mwamba🤣😂
Ubavu wa kujibu tu ondoa shaka wanao vizuri tu si juzi tu hapa crime ilikung'utwa kombora putinnya akahamaki akisema kuwa US ndo walikuwa behind the scene
Watoto na wanawake wakati vita inaanza imekuaje tena?
Tumeunguza silaha mkuu kama kuna watoto walifichwa huko aulizwe Zelesky ilikuwaje ghala la Silaha kuwepo na watoto?Sawa Ukraine wameua watoto 2 wa Russia, Putin kateketeza hospitali ya watoto
Tumeunguza silaha mkuu kama kuna watoto walifichwa huko aulizwe Zelesky ilikuwaje ghala la Silaha kuwepo na watoto?