Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

Yeah, waliolengwa ni magaidi ya Ukraine
 
Tulieni mwanaume amwage shahawa, nye nye nye za nini? Mlipoua watu kanisani mlitegemea Russia ifanyaje. Mnatoa report za kutaka huruma, hakuna huruma kwenye vita. Kama mnapanga udhalimu wenu kwenye maeneo ya raia badala kambi za kijeshi, nani ni mshenzi. Kaeni kwa utulivu, mkihisi ujotojoto ujue mwanaume kalimwaga.
 
Kwahiyo ni hata Netanyahu ni sawa akipiga hospitals kwasababu Hamas wamo humo na wanaficha silaha?
Kwa Hamas haikuthibitika,ICC ilimuumbua Netanyahu kweupeee.
Alipeleka hadi video ambazo ni edited akidai ni Alshifa hospital Hamas wanapatumia kuficha silaha.
Ila zikakaguliwa na kuonekana fake videos ni za kuundwa.
Msilete mambo ya Netanyahu hapa ilhali anajulikana anaua raia kimakusudi.
 
Kule nadhani Nentanyahu anachukulia wapalestine wote kuwa ni Hamas.
 
Putin amelaaniwa mno kwa huu unyama ila hapo Netanyau anatenda haya miaka yote hapo Gaza na Dunia ipo kimya tu.

Dunia imejaa viongozi wabinafsi, wauaji na wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…