Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
... aliyedhaniwa kuwa mwanafunzi kumfunza aliyedhaniwa kuwa mwalimu haijakaa sawa.Kumbe kujifunza ni aibu sikuwahi kujua hili
Mda mwingine ficha upumbavu. Technology hazilingani... aliyedhaniwa kuwa mwanafunzi kumfunza aliyedhaniwa kuwa mwalimu haijakaa sawa.
Iran ni mwalimu wa Russia in military technology sio? If that's that the case naficha upumbavu wangu boss.Mda mwingine ficha upumbavu. Technology hazilingani
Wewe ndo ufiche upumbavu. Haiwezekan super power apewe msaada wa drone huku yeye mtengeneza drone Bora duniani according to pro Russia. Hii ni aibu ya karineMda mwingine ficha upumbavu. Technology hazilingani
Yampasa mwanafunzi kuwa kama Mwalimu wake, na Mtumwa kuwa kama Bwana wake.... aliyedhaniwa kuwa mwanafunzi kumfunza aliyedhaniwa kuwa mwalimu haijakaa sawa.
Ha ha ha!Watu wakiwaambia jeshi la urusi ni sawa na jeshi la kongo mnabisha haya oneni sasa urusi wameanza kupashishwa na wakina abdala.
Sifa kwa waajemi acheni kusifia supapawa la mchongo tuelewe moja.Yampasa mwanafunzi kuwa kama Mwalimu wake, na Mtumwa kuwa kama Bwana wake.
Ndio nyinyi mnaoua watoto wenu kwasababu tu kakuzidi maarifa kwenye Jambo fulani!.
Kumbe Iran sio underdog kihivo...mpaka anatoa elimu kwa the so called superpower??!!!
"The shape of the missile top has nothing to do with aerodynamics. It is about the payload delivery."