Russia waanza kupewa mafunzo na Iran jinsi ya kutumia drones

Russia waanza kupewa mafunzo na Iran jinsi ya kutumia drones

Hii habari imetoka kwa CIA wakiamini hivyo, hata habari za Russia kuivamia Ukraine zilipotolewa November mwaka jana na New York Times ikawaquote CIA watu walibisha. Baadae walikuja kujitetea kwa kusema sio vita hii ni special military operation.

Putin kashatoka Iran mliona anaenda, vijana wake wako wanafundishwa kutumia drones hasa suicide/kamikaze. Kama unabisha kuwa mvumilivu soon utaanza kuziona zile drones za Iran wanazoonesha kwenye mahandaki.

In fact, drones nyingine za Urusi kama Zara ni designed kwa msaada wa Israel. Russia hajawa vizuri kwenye drones, ni late comer hawezi kuwafikia kina US, Israel, China wala Turkey.

Point ya msingi sana inayomfanya Russia achukue drones za Iran ni kwamba Iran iko under sanctions kwa muda sana. Haitumii foreign technology yeyote katika silaha zake. Wakati Russia ina components nyingi inaagiza nje kama GPS guidance, electronics na imaging systems. Iran silaha zake sio best quality ila haziathiriwi na vikwazo, Russia ana vikwazo hawezi chukua baadhi ya advanced Western technology kwa sasa hivyo uzalishaji wa drones akianza utasumbua. Na bado kuanza R&D inahitaji muda.

Kingine, kwa doctrine ya Iran wanaamini kwenye drones ambazo tangu kwenye Iran - Iraq war miaka ya 1980 walijaribu kuzitumia. Russia hakuwahi amini kwenye drones mpaka hivi karibuni, Iran ina kitu cha kumfundisha maana ina aina nyingi za drones.

Hasara moja ni kwamba Iran haina uwezo wa kufanya mass production. Kukwepa hili Urusi wanaweza fanya license production kwao kuzalisha drones kwa wingi. Kamikaze drones hazihitaji ziwe advanced sana na Iran ina uwezo nazo, ila bado zipo zinazojiweza kiasi kama Ababil na Shahed.

I bet Israel itafurahia kuchunguza uwezo wa hizi drones
 
Aibu sana kwa super power ,
Iran has begun training Russian officials to use its advanced drones, according to the Biden administration, the latest sign that Moscow plans to use Tehran’s military weapons to try to seize a new aerial advantage in Ukraine.
CNN
ndio akili yako ilipoishia kwenye kufikiri? kila Tech inahitaji kujifunza kwa mmiliki? je unajua kuwa juzi jumatatu Irani karushiwa satelaiti yake kwenye Orbit na Rocket ya Russia?
 
Back
Top Bottom