Russia waanza kupewa mafunzo na Iran jinsi ya kutumia drones

Russia waanza kupewa mafunzo na Iran jinsi ya kutumia drones

Marekani aiomba Uturuki ipeleke drone zake Ukraine.
Pia aiomba Poland ipeleke S300 Ukraine.
aiomba ipeleke kumsaidia Ukraine na sio aiomba imsaidie yeye ? tofautisha hapo , unaanzisha vita ya kipumbav ili usaidiwe hizo ni akili timamu ?
 
Yampasa mwanafunzi kuwa kama Mwalimu wake, na Mtumwa kuwa kama Bwana wake.
Ndio nyinyi mnaoua watoto wenu kwasababu tu kakuzidi maarifa kwenye Jambo fulani!.
kwahiyo Urusi sio superpower tena ? kwa mujib wa kauli yako
 
Watu ni wajinga sana yani,, mtu bila kujifunza utawezaje tumia tech ya mwenzako,? Kujua kuendesha gari haimaanishi utajua namna ya kufanya vitu vyote kwenye gari ingne, unaweza pewa Hennessy venom usijue hata inavowashwa

kwanza tukiri kua Drone za urusi na radar zake ni useless had anaomba msaada plan B kwa iran.
halafu ndio uongezee hii point yako.
 
IRANI NI TAIFA HATARI SANA. MAREKANI IMECHIMBA MKWARA KWA TAIFA LOLOTE LITAKALOMSAIDIA RUSSIA KTK HII VITA. MBABE IRAN KAISHATUMA DRONE, ngoja tukae mkao wa kutulia tuone supa pawa wa zamank za kale nini atafanya kwa IRAN
 
IRANI NI TAIFA HATARI SANA. MAREKANI IMECHIMBA MKWARA KWA TAIFA LOLOTE LITAKALOMSAIDIA RUSSIA KTK HII VITA. MBABE IRAN KAISHATUMA DRONE, ngoja tukae mkao wa kutulia tuone supa pawa wa zamank za kale nini atafanya kwa IRAN
USA anakupiga kiakili sio km China na Urusi mibav mbele
 
Lengo ni kufika kyiv na Putin atahakikisha ninatimia hata mwakani ila lazima hako kashort katoke madarakani
akitoka utaongezewa ugali , mnapinga ushog hlf mna akil zile zile , kuchekea uvamiz usio na maslai kwako huo pia ni ushooo gaa
 
ficha upumbavu
๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž
 
Aibu sana kwa super power ,
Iran has begun training Russian officials to use its advanced drones, according to the Biden administration, the latest sign that Moscow plans to use Tehranโ€™s military weapons to try to seize a new aerial advantage in Ukraine.
CNN
Mbinu za kivita zinabadilika Kila uchao, teknolojia za kivita zinabadilika sana
 
Back
Top Bottom