EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Zoezi ni endelevu kwaio we tulia vaa miwani nyeusi nunua juisi na bisi angalia muvi π π π₯½π₯‘π₯‘Na Mimi nikuulize mmechuku mda gan had mmetekahivyo vimiji viwili kumbuka bado dombas yote hamjabeba
superpower anajifunza hahahaaaaKumbe kujifunza ni aibu sikuwahi kujua hili
hahaa kwan technology ya superpower imefer mpk atumie plan B ya Iran? , ni swal tu hahahaaaMda mwingine ficha upumbavu. Technology hazilingani
aiomba ipeleke kumsaidia Ukraine na sio aiomba imsaidie yeye ? tofautisha hapo , unaanzisha vita ya kipumbav ili usaidiwe hizo ni akili timamu ?Marekani aiomba Uturuki ipeleke drone zake Ukraine.
Pia aiomba Poland ipeleke S300 Ukraine.
hahaaaaIran ni mwalimu wa Russia in military technology sio? If that's that the case naficha upumbavu wangu boss.
unaanzisha vita dhidi ya kataifa kadogo ili usaidiwe sio ? hz kwako ndo akili ? unakopa dukan ili usaidiwe kulipaHivi pro nato ni kwamba hamna akili au mmeamua kujitoa ufahamu
kwahiyo Urusi sio superpower tena ? kwa mujib wa kauli yakoYampasa mwanafunzi kuwa kama Mwalimu wake, na Mtumwa kuwa kama Bwana wake.
Ndio nyinyi mnaoua watoto wenu kwasababu tu kakuzidi maarifa kwenye Jambo fulani!.
hahahahahaaaaa wavaa kobaz oyeeeee , bikra 70 oyeeeee , aheraaaa oyeeeeeWatu wakiwaambia jeshi la urusi ni sawa na jeshi la kongo mnabisha haya oneni sasa urusi wameanza kupashishwa na wakina abdala.
Watu ni wajinga sana yani,, mtu bila kujifunza utawezaje tumia tech ya mwenzako,? Kujua kuendesha gari haimaanishi utajua namna ya kufanya vitu vyote kwenye gari ingne, unaweza pewa Hennessy venom usijue hata inavowashwaKumbe kujifunza ni aibu sikuwahi kujua hili
Watu ni wajinga sana yani,, mtu bila kujifunza utawezaje tumia tech ya mwenzako,? Kujua kuendesha gari haimaanishi utajua namna ya kufanya vitu vyote kwenye gari ingne, unaweza pewa Hennessy venom usijue hata inavowashwa
hahahahahaaaaa wavaa kobaz oyeeeee , bikra 70 oyeeeee , aheraaaa oyeeeee
Toka operesheni ya saa 72 [emoji12][emoji12]Zoezi ni endelevu kwaio we tulia vaa miwani nyeusi nunua juisi na bisi angalia muvi π π [emoji3066][emoji3044][emoji3044]
Lengo ni kufika kyiv na Putin atahakikisha ninatimia hata mwakani ila lazima hako kashort katoke madarakaniToka operesheni ya saa 72 [emoji12][emoji12]
jembeeeewavaa Kobazi Jembe si jembeeee!?
USA anakupiga kiakili sio km China na Urusi mibav mbeleIRANI NI TAIFA HATARI SANA. MAREKANI IMECHIMBA MKWARA KWA TAIFA LOLOTE LITAKALOMSAIDIA RUSSIA KTK HII VITA. MBABE IRAN KAISHATUMA DRONE, ngoja tukae mkao wa kutulia tuone supa pawa wa zamank za kale nini atafanya kwa IRAN
akitoka utaongezewa ugali , mnapinga ushog hlf mna akil zile zile , kuchekea uvamiz usio na maslai kwako huo pia ni ushooo gaaLengo ni kufika kyiv na Putin atahakikisha ninatimia hata mwakani ila lazima hako kashort katoke madarakani
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π πficha upumbavu
Mbinu za kivita zinabadilika Kila uchao, teknolojia za kivita zinabadilika sanaAibu sana kwa super power ,
Iran has begun training Russian officials to use its advanced drones, according to the Biden administration, the latest sign that Moscow plans to use Tehranβs military weapons to try to seize a new aerial advantage in Ukraine.
CNN