Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Kupitia mtandao wa X/Twitter, Russia imewaomba Marekani kuacha ubabe wao wa kukamata meli, pia Russia imewaomba Marekani kuwatendea vyema raia wa Russia waliotekekwa pamoja na meli iliyokuwa ikitokea Venezuela.
Hivi Russia ndio watu wa kulia lia hivi mitandaoni!?
Putin ampe nchi Medvedev, aongoze hata japo kwa mwaka mmoja tu!!!
Hivi Russia ndio watu wa kulia lia hivi mitandaoni!?
Putin ampe nchi Medvedev, aongoze hata japo kwa mwaka mmoja tu!!!