Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

sweden hamna kitu pale ovyo kabisa,
 
Bujibuji hata ukiwaahidi wachezaji wa Afrika dawa za nguvu, na ukawaahidi surgery ili wawe na pair haisaidii na hawatabadilika

Chukua mfano wa golikipa wa Senegal, yeye akipata mpira ni tuuuu bila kujua unatua kwa nani
Utaona ni mtu anayeweza kudaka nazi akachukuliwa timu ya taifa, hana maarifa ya soka

Hivyo tunakosa wachezaji wenye exposure na wanaocheza kisayansi.
Tuna watu wenye nguvu sana za mwili wanaojua kukimbiza mpira goli moja hadi jingine

Pili, hatuhitaji makocha wazawa, hawa ni failure. Tukubali kuwa Wazungu wanajua na wanaweza haya mambo. Makocha wazawa ni janga kama wachezaji wao
 
NN ni end of the road kwa England. Kwa mchezo wa leo,hawawezi kusimama kidete na Sweden

Bado nabaki kuamini timu 4 za mwisho

Brazil, Croatia, Sweden Uruguay
Katika timu hizi, anayeweza kumzuia Brazil kwa uhakika ni Croatia
yaan hao brazil utawakana tu, naomba akutane na france,[emoji16] ,, ivi nyie brazil mnaiogopea nn? acheni ushabiki, brazil safari yake imewadia
 
Unafikir Colombia walienda kushangaa nyuklia za Putin?? Hii si timu ya mchezo mchezo.....Colombia si under dog hadi useme England alifaa kumfunga before extra time... Mara ya mwisho nacheki hawa Colombia walikuwa juu ya England kwa FIFA ranking...sijui sahv hali ipoje... In short Colombia is better than Sweden....
 
Pamoja mwishoni mwa msimu hakuwa na fitness nzuri, lkn ktk kikosi cha uingereza sijaona kiungo wa kumuweka Jack Wilshare benchi na angekuwepo leo uingereza alikuwa anamaliza gemu mapema kabisa. England leo walimkosa mtu type ya Jack wa kukaa na kusambaza mipira pale kati na mwenye uwezo wa ku-assist, ndio maana walimua kucheza na refa ili wapewe faulo na kwa kugundua wamezidiwa wakaamua wamuingize Rose na Vady sababu wana kasi watawasaidia ktk counter attack, endapo colombia wangepoteza mipira pale kati, ila leo England washukuru James Rodriquez hakucheza la sivyo mechi isingeenda hata dk 120.
 
Wamshukuru Mcolombia aliyepiga mwamba....maana angepata ile penati ndo ingekuwa bye bye.
Na wao wamshukuru henderson kwa kukosa ile penati maana kugongesha kwao mwamba Kazi ilikuwa inamalizwa na Rashford
 
NN ni end of the road kwa England. Kwa mchezo wa leo,hawawezi kusimama kidete na Sweden

Bado nabaki kuamini timu 4 za mwisho

Brazil, Croatia, Sweden Uruguay
Katika timu hizi, anayeweza kumzuia Brazil kwa uhakika ni Croatia
Endelea kuota , mlisema hatovuka hata makundi. LEO mmeamua kujificha kwenye kichaka cha kutaja team zako nne [emoji1] [emoji1]
 
Kwahyo ukishinda kwenye extra time wewe ni team dhaifu??? Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi
 
Endelea kuota , mlisema hatovuka hata makundi. LEO mmeamua kujificha kwenye kichaka cha kutaja team zako nne [emoji1] [emoji1]
Nope! kiwango cha England ni duni.

Jana nilisema Columbia ni underdog hata hivyo England wasifanye kosa na kudhani ni Senegal au Tunisia, wataduwazwa. Ni kweli wameduwazwa kwa ushindi wa matatu

Kwa timu yenye kadi 6, ilikuwa ni kupita katikati kwasababu wachezaji wasinge risk red card

England wakaamua kutumia forward 2 na cross wakimtumaini Kane.
Kiungo kikafa na kukaribisha mashambulizi. Hii mechi haikupaswa kwenda extra time

Kilichokosekana kwa England ni 'psychology' ya wachezaji kutambua kuwa Columbia walidhamiria kuwa frustrate ili wacheze kama wao.

Ndivyo England walivyovutika na kuacha pattern zao za PL na kucheza touch za South America. Huwezi kujifunza pattern mpya katika dakika 40 au 50.
Wakachanganyikiwa wacheze vipi hadi matatu yalipowaokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…