Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
haka kamwandiko nakajua hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haka kamwandiko nakajua hahaha
Tupia jina Halisi la mwenye mwandiko huku kwa majaliwahaka kamwandiko nakajua hahaha
sweden hamna kitu pale ovyo kabisa,No, I mean England haiwezi kuvuka kikwazo cha Sweden kutokana na uchezaji mbovu ilioonyesha. Hii ilikuwa ni timu ya kuifunga Columbia bila extra time
Wangetumia udhaifu wa kadi kupita mabeki, hawakuweza wakajikita katika Cross
Nikisema haiwezi kusimama na Sweden nina maana ndio mwisho wa safari
yaan hao brazil utawakana tu, naomba akutane na france,[emoji16] ,, ivi nyie brazil mnaiogopea nn? acheni ushabiki, brazil safari yake imewadiaNN ni end of the road kwa England. Kwa mchezo wa leo,hawawezi kusimama kidete na Sweden
Bado nabaki kuamini timu 4 za mwisho
Brazil, Croatia, Sweden Uruguay
Katika timu hizi, anayeweza kumzuia Brazil kwa uhakika ni Croatia
hahaha [emoji23] [emoji23] uck mwm mkuuTupia jina Halisi la mwenye mwandiko huku kwa majaliwa
umenena[emoji736]Tunakoelekea Ka nchi ka ajabu kanaweza chukua kombe!!
Unafikir Colombia walienda kushangaa nyuklia za Putin?? Hii si timu ya mchezo mchezo.....Colombia si under dog hadi useme England alifaa kumfunga before extra time... Mara ya mwisho nacheki hawa Colombia walikuwa juu ya England kwa FIFA ranking...sijui sahv hali ipoje... In short Colombia is better than Sweden....No, I mean England haiwezi kuvuka kikwazo cha Sweden kutokana na uchezaji mbovu ilioonyesha. Hii ilikuwa ni timu ya kuifunga Columbia bila extra time
Wangetumia udhaifu wa kadi kupita mabeki, hawakuweza wakajikita katika Cross
Nikisema haiwezi kusimama na Sweden nina maana ndio mwisho wa safari
Ahsante hiyo ban ya kiutu uzima Inabaki kutusi kimoyomoyo tu ilikuwa balaa tunashukuru hivi tunajuzana hali maana kombe hili na jamii ilikuwa lupango ladha ya kucharurana Iliisha.Hongereni team England,kwema kaka,habari ya ban la TCRA?
Duh!!! hili sasa bifu...Ila sio england. Labda croatia!
Ikushi tulia, nimeweka jina lako katika Calendar, siku ikifika nitakualikasweden hamna kitu pale ovyo kabisa,
Poa poahahaha [emoji23] [emoji23] uck mwm mkuu
France!!![emoji16] [emoji16] upo serious kabisaaa...??yaan hao brazil utawakana tu, naomba akutane na france,[emoji16] ,, ivi nyie brazil mnaiogopea nn? acheni ushabiki, brazil safari yake imewadia
natamani colombia washinde.....
Na wao wamshukuru henderson kwa kukosa ile penati maana kugongesha kwao mwamba Kazi ilikuwa inamalizwa na RashfordWamshukuru Mcolombia aliyepiga mwamba....maana angepata ile penati ndo ingekuwa bye bye.
Endelea kuota , mlisema hatovuka hata makundi. LEO mmeamua kujificha kwenye kichaka cha kutaja team zako nne [emoji1] [emoji1]NN ni end of the road kwa England. Kwa mchezo wa leo,hawawezi kusimama kidete na Sweden
Bado nabaki kuamini timu 4 za mwisho
Brazil, Croatia, Sweden Uruguay
Katika timu hizi, anayeweza kumzuia Brazil kwa uhakika ni Croatia
Kwahyo ukishinda kwenye extra time wewe ni team dhaifu??? Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusiNo, I mean England haiwezi kuvuka kikwazo cha Sweden kutokana na uchezaji mbovu ilioonyesha. Hii ilikuwa ni timu ya kuifunga Columbia bila extra time
Wangetumia udhaifu wa kadi kupita mabeki, hawakuweza wakajikita katika Cross
Nikisema haiwezi kusimama na Sweden nina maana ndio mwisho wa safari
Nope! kiwango cha England ni duni.Endelea kuota , mlisema hatovuka hata makundi. LEO mmeamua kujificha kwenye kichaka cha kutaja team zako nne [emoji1] [emoji1]