Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Asante kunikumbusha.carrasco anacheza ligi ya wachina tambi siku hizi
kwel kabsa ingependezaNilitegemea ungeweka fact zako hapa za kusupport hiyo wishfull result ila naona unapiga ramli tu kama waganga wa kienyeji.
Mheshimiwa tangu uzaliwe uliwahi kufiwa na ndugu yako wa karibu? je uliwahi kumuweka picha yake kuwa profile yako? nauona unafki wa Watanganyika sasa umefika level ya juu kabisa.Ni jambo la kushangaza wakuu lakini ndivyo itakavyokuwa, Kama kuna wale
wanaocheza kamari nawashauri waweke hata Nyumba, waweke mitaji yao yote.
Ni jambo la kushangaza wakuu lakini ndivyo itakavyokuwa, Kama kuna wale
wanaocheza kamari nawashauri waweke hata Nyumba, waweke mitaji yao yote.