Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

95% Kombe linaenda Ufaransa; Sweden Runners Up, Halafu Belgium Third Position

upload_2018-7-4_13-35-37.png
 
Mambo yanazidi kusonga uelekeo unazidi kuwa wazi,mm timu Burazili bana😀
 
Ni jambo la kushangaza wakuu lakini ndivyo itakavyokuwa, Kama kuna wale
wanaocheza kamari nawashauri waweke hata Nyumba, waweke mitaji yao yote.
 
Tatizo la Waingereza kuqualify quarter final wanaanza kusherekea ubingwa utafikiri Sweden, Croatia ni Singida United...........
 
Ni jambo la kushangaza wakuu lakini ndivyo itakavyokuwa, Kama kuna wale
wanaocheza kamari nawashauri waweke hata Nyumba, waweke mitaji yao yote.
Mheshimiwa tangu uzaliwe uliwahi kufiwa na ndugu yako wa karibu? je uliwahi kumuweka picha yake kuwa profile yako? nauona unafki wa Watanganyika sasa umefika level ya juu kabisa.
 
France wana nafasi kubwa zaidi ya kuchukua ubingwa.
 
Back
Top Bottom