ok Sawa ! Nani UnampaMkuu mechi ni kesho kama niko sahihi na tarehe!
Lini sasa wakati hakuna mechi leo. Funga uziok Sawa ! Nani Unampa
Si utatumia ile id yako nyengine?!England akichukua ubingwa naomba mods wapige hii id yangu life ban.
@MODS
ModeratorEngland akichukua ubingwa naomba mods wapige hii id yangu life ban.
@MODS
Unaongea Na Cm Au?Ubergiji ndio kitu gani?
Nataman sana Belgium amkalishe mtu, na nampa japo double chance, Brazil wana masihara sanaok Sawa ! Nani Unampa