Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mkuu mechi ni kesho kama niko sahihi na tarehe!
 
Game ngumu sana japo Brazil anaweza akapita kwakuwa ana experience ya kutosha na kombe la dunia, bt lolote linaweza likatokea
 
Brazil anashida hili game angalia neyma pasi za mwisho anazotoa zauhakika nimemuona ubelgiji alikuw anasuasua kwenye game zidi ya japan hivyo simpi nafasi hawana mbinu za kufunga magoli
 
Mechi itakuwa rahisi sana kwa Brazil na Brazil ndiye bingwa wa WC 2018
 
Back
Top Bottom