stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Nimesema itakuwa ngumu kidogo sababu belgium wapo vizur kiasi kwenye viungo na mashambulizi..Hahahaaaaa. Dk 90 ndio zitaongea best.
Unaona umeshaanza kwamba mechi itakuwa ngumu. Kwa nini sasa na nyie ndio mnasema mnaujua mpira?
Hahahaaa. Kwa mbaali nimejitahidi kukuelewa best.Nimesema itakuwa ngumu kidogo sababu belgium wapo vizur kiasi kwenye viungo na mashambulizi..
Brazil wapo vizuri kila idara japo kwenye ushambuliaji ni butu kiasi
Kwahiyo mwamba na mwamba wamekutana japo mwamba mmoja ni imara zaidi[emoji1054][emoji3]
Bado mda mchache tuu..Hahahaaa. Kwa mbaali nimejitahidi kukuelewa best.
Haya tusubiri tuone.
Umeonaeee.Bado mda mchache tuu..
Tusubiri
Km sio 90,120 zitatoa majibu ama mikwaju, ila lzm afe mtuHahahaaaaa. Dk 90 ndio zitaongea best.
Unaona umeshaanza kwamba mechi itakuwa ngumu. Kwa nini sasa na nyie ndio mnasema mnaujua mpira?
Kabisa. Haina kupona leo.Km sio 90,120 zitatoa majibu ama mikwaju, ila lzm afe mtu
Yap.Umeonaeee.
Ndio nacheck hapa niko France aiseee. Wewe je?Yap.
Na hii ya france na uruguay unahamu ya kuiona team ipi inashinda?
Brazil anafungasha leo mkuu.Nimesema itakuwa ngumu kidogo sababu belgium wapo vizur kiasi kwenye viungo na mashambulizi..
Brazil wapo vizuri kila idara japo kwenye ushambuliaji ni butu kiasi
Kwahiyo mwamba na mwamba wamekutana japo mwamba mmoja ni imara zaidi[emoji1054][emoji3]
Hahahaaa. Nangojea hiyo Samba mie.Tulia tu uone Samba Hajar, tusiandikie mate wakati wino umejaa tele kwa tele, naimani ahdi yako bado waikumbuka
Mmh mi wala sisemi mengi hapaHahahaaa. Kuumbe. Mie nasema mtapata tabu sana narudia tabu sana.
Sesten Zakazaka njoo uone mshabiki mwenzio wa Brazil huku naye anajifariji.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jifariji tu Sesten.Kama kuendesha gari au basikeli, ukishajua umejua tu mkuu
Wacha tusubiriBrazil anafungasha leo mkuu.
Hahahaaa. Waambie hao na hawataamini.Brazil anafungasha leo mkuu.
Basi sawa mamii na tusubirie tuone maana ni muda mchache tu hivi umesalia mbivu na mbichi zijulikaneHahahaaa. Nangojea hiyo Samba mie.
Ahadi yangu ipo na itaendelea kuwepo kikubwa mshinde tu.