stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Nimesema itakuwa ngumu kidogo sababu belgium wapo vizur kiasi kwenye viungo na mashambulizi..Hahahaaaaa. Dk 90 ndio zitaongea best.
Unaona umeshaanza kwamba mechi itakuwa ngumu. Kwa nini sasa na nyie ndio mnasema mnaujua mpira?
Brazil wapo vizuri kila idara japo kwenye ushambuliaji ni butu kiasi
Kwahiyo mwamba na mwamba wamekutana japo mwamba mmoja ni imara zaidi[emoji1054][emoji3]