BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Sina team kwakweli, nimebakia mtazamaji tu. Team yangu ishatoka.
poa kamanda tupo pamoja mimi mwenyewe nilikuwa napenda kombe liende america kusini
Tumewakosa Russia hapa, Kidogo tu!Vipi wakuu
Russia inabidi wabaki nyumbani kama mashabikiVipi wakuu
Sina team kwakweli, nimebakia mtazamaji tu. Team yangu ishatoka.
hahaa presha ilipanda Russia,kamekuwa kabishoo ,kalikuwa kanapiga selfie na warembo alafu kamejaa vipuri kama koffo olomide hahaaMashine hiyo mpaka now UK hawana hamu naye ππππ
hahaa hata hilo la mkono lingekataliwa,bado walikuwa wanapigwa, kulikuwa hamna namna nyingine ni kipigo tuuNafikiri waingereza wanatumia hili goli kama garasa, kinachowauma ni lile goli la pili kuwapiga vyenga mpaka kambani. Ni aibu amayedai muasisi wa soka kuaibishwa namna ile. Khee kheeeee kheeeeeee.
hahaa presha ilipanda Russia,kamekuwa kabishoo ,kalikuwa kanapiga selfie na warembo alafu kamejaa vipuri kama koffo olomide hahaa
Naona Russia wameamua kupaki basi mapemaa
Hahaha bado mkuuRussia inabidi wabaki nyumbani kama mashabiki
Naona matuta yananukia hapa.Tumewakosa Russia hapa, Kidogo tu!