Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mipango ya Urusi ni kuwapeleka Croatia kwenye matuta kama walivyowafanya Spain![emoji30][emoji30][emoji30]
Urusi wanacheza kwa kujituma zaidi unaona kuna kitu wanakitafuta,lakini hawa Croatia looh hawana uharaka kabisa
 
Kwa mpira huu, england wanacheza fainali.
Poor Croatia, kwa mpira huu ndio maana waingereza wanaamini watafika fainali, si ajabu Urusi akashinda leo

England hawana defensive game kama Russia, kwahiyo tegemea mchezo tofauti sana sana. Kumbuka Spain walikuwa na mpira saa zote . Walivunja record ya World Cup kwa kupiga pasi 1000, lakini walishindwa kupenya ngome ya Russia
 
Set pieces timu zote hizi haziko vizuri. Ndio silaha kubwa ya England.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…