Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mpira huu, england wanacheza fainali.
Matuta Russia wako njema zaidi. Sitamani tufike huko kabisa!Naona matuta yananukia hapa.
Kwa hii presha mrusi atamudu kweli 30 za nyongeza?Naona matuta yananukia hapa.
Ndiko twaelekea after 30 minutesMatuta Russia wako njema zaidi. Sitamani tufike huko kabisa!
Wacha tuone, I wish tusifike huko.Ndiko twaelekea after 30 minutes
Urusi wanacheza kwa kujituma zaidi unaona kuna kitu wanakitafuta,lakini hawa Croatia looh hawana uharaka kabisaMipango ya Urusi ni kuwapeleka Croatia kwenye matuta kama walivyowafanya Spain![emoji30][emoji30][emoji30]
Kwa mpira huu, england wanacheza fainali.
Poor Croatia, kwa mpira huu ndio maana waingereza wanaamini watafika fainali, si ajabu Urusi akashinda leo
Warusi wakaendelee na kazi za kujenga nchiTumemaliza kazi!
Bro congratulations!Naamini ndani ya hizi 30' Croatia atamaliza kazi. Sijawahi kupenda matuta.
Set pieces timu zote hizi haziko vizuri. Ndio silaha kubwa ya England.England hawana defensive game kama Russia, kwahiyo tegemea mchezo tofauti sana sana. Kumbuka Spain walikuwa na mpira saa zote . Walivunja record ya World Cup kwa kupiga pasi 1000, lakini walishindwa kupenya ngome ya Russia