Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Leo nimefungua uzi huu kuja kuwasoma wale wenye chuki na England, bahati nzuri umeandika kile nilichotaka kusema. Maoni ya wengi yametawaliwa na chuki binafsi.
 
Atakachokifanya England jumatano watu watakimbiana humu, zitabaki stori England kaingia fainali kwa kucheza na timu nyepesi nyepesi (Wakati leo watu wanasema England hachomoki kwa Croatia, England atagota kwa Croatia)
Chuki binafsi zinawasumbua wengi. England kamfunga Sweden kwa kutumia 40% ya uwezo wake...
 
Wazee wa kubet kawekeni mzigo hizo ndio tumu zitakutana fainali mtakuja niambia
 
Na huo mchanyato wa damu changa na wahenga wachache young (Ashley )na cahill pamoja na vardy ndio ambao walikuwa wamezaliwa waqt England inacheza nusu fainali mwaka wa 1990 kikosi kimesheheni damu changa na hilo la kuwa underdog linawapa nafasi na ari ya kutaka kuwatoa watu NISHAI kuwa waliwadharau. Kimsingi hatua hii tulipofia usimbeze mpinzani wako kwani kati ya 32 kubaki timu nne usichukulie poa umeandika vyema sana.
 
Leo nimefungua uzi huu kuja kuwasoma wale wenye chuki na England, bahati nzuri umeandika kile nilichotaka kusema. Maoni ya wengi yametawaliwa na chuki binafsi.
Kutoka kubezwa na kuitwa timu ya magazeti mpaka kuchukiwa vijana wamefanya kazi yao vizuri. Hii usiyemtaka na kumpenda kaja ina maana sana hapa watu walitaka kuona timu zao ndio zinapata matokeo mazuri imekuwa kinyume.
 
Kutoka kubezwa na kuitwa timu ya magazeti mpaka kuchukiwa vijana wamefanya kazi yao vizuri. Hii usiyemtaka na kumpenda kaja ina maana sana hapa watu walitaka kuona timu zao ndio zinapata matokeo mazuri imekuwa kinyume.
Kwani uongo? England siyo timu ya magazeti? Unafuatilia mpira kweli? Halafu Hamna mtu mwenye chuki na England, wanachozungumzia watu ndiyo uhalisia huo England hajui mpira. Unajua kwenye mpira ili ufanikiwe kwenye hatua ya makundi kuna haya, uwezo wako, uwezo wa timu pinzani na kundi ulipo likoje? Unajua ni kwa nini Portugal ilipotoka 3-3 na Hispania walishangilia akina Ronaldo? Ni kwa sababu ya kundi walilopo in kundi lenye upinzani mkubwa. Hiyo hali linganisha kwa England majibu utayapata mwenyewe.

Kwanza kuna baadhi ya match zikichezwa unasema kabisa dahhh!!! Leo shughuli ipo. Hiyo hali ilitokea kwa England leo shughuli ipo? Kundi alilipo England ndilo lililombeba akafikia hii hatua tunayozungumzia. Hata Mpira wao ukiutizama unajua kabisa hawa England wakikutana na timu heavy watapoteana uwanjani.
 
Hizi ni hisia zako sio fact. Fact ni kuwa England ni moja ya timu nne bora kwa FWC 2018. Kwani England alijipangia awe kundi hilo unaloona ni rahisi? Wapo wenzio kwa chuki zao walisema hata kwenye hilo kundi hapiti.
Ujanja ujanja uliishia kwenye mtoano ndio maana timu zenu mnazoona ndio bora zimepukutishwa na zile mnazoona sio bora.
 
Unasaliti Avatar, Nao maneno Russia na FSB humo...sasa hiyo emoji! inaleta shida.
===
Na mimi ningependa Zagreb na Brussels zikutane finali, Paris na London watafute mshind wa tatu.
We are out bro,hivyo twapenda wenzetu hao wakutane. Hamna jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…