Mkilibeba England nzima patakuwa na ongezeko la DUI cases na uhalifu.Cha pili tayari
Football is coming home
Hamjaamini tuu?
Ilikua June 10Team
Croatia [emoji123]
Senegal
Naona zile ndoto zako za England kutoka round ya 16 bora zimeyeyuka ghafla haahaha[emoji1] [emoji1]Hii thread badala ya World Cup imejaa uswahili wa Kitanzania na mapenzi maandazi...kwaherini, nawatakia kila la heri..
Huyo mfaransa mnavyompa credits hana lolote, hapiti kwa mbeligiji mark my words.Fainali ni France vs Croatia
Wanampamba sana mfaransa ngoja tuoneHuyo mfaransa mnavyompa credits hana lolote, hapiti kwa mbeligiji mark my words.
Ubingwa unaenda kwa mbeligiji mapemaaa.
Mkilibeba England nzima patakuwa na ongezeko la DUI cases na uhalifu.
Vipi umelewa...ndoto zangu zipi au unanifananisha! Kwa timu zilizobaki niko na England na Ufaransa, vipi wewe! Timu zenye weusi wengi ndiyo timu zangu!Naona zile ndoto zako za England kutoka round ya 16 bora zimeyeyuka ghafla haahaha[emoji1] [emoji1]
Mmeumbuka si kitoto
'Foreign coaches treated like demi-gods'Hii thread badala ya World Cup imejaa uswahili wa Kitanzania na mapenzi maandazi...kwaherini, nawatakia kila la heri..
Hivi huna habari kwamba hizo nchi mbili, Tunisia na Morocco, ni katika zile nchi za Kiarabu zilizokuwa zikitafuta namna ya kujitoa barani Africa na kuungana na Waarabu wenzao? Hawataki kuwekwa kundi moja na Waafrika weusi. Umewahi kusikia ushirika wa nchi unaoitwa MENA? Usilolijua ni kama gunia la msumari!Kuna watu humu wanashabikia timu eti because ina weusi wengi...alafu cha kushangaza timu hiyo hiyo iliyosheheni weusi wenzetu wakikutana na Tunisia ama Morocco..mibongo inajifanya kuwa upande wa france wakati hizo timu zipo afrika na ni ndugu zetu kabisa. Hizi ndiyo akili za wabongo huwa zinafikiria viseversa all the tme 😀
Tutauona mpambano, kweli si uongoKucheza dhidi ya Taifa lako ulilolitumikia kwa uaminifu , huku ukihitaji kuwafunga na kuwatoa kwenye mashindano si jambo rahisi.
Thiery Henry ni miongoni mwa wachezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa waliotwaa kombe la dunia , lakini leo atasimama kama kocha msaidizi wa Ubelgiji huku akisimamia shoo ya kuing'oa France mashindanoni.
Hii imekaaje wakuu ?