Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

france and england in this tournament will meet at the final
 
36503174_200501897332073_6543967263454658560_n.jpg
 
Nashindwa kuelewa wanaosema kuwa England imependelewa na FIFA /UEFA. Ingawaje siipendi England sioni kupendelewa kwao. Ratiba yote ilitolewa since last year. Nachokiona cha busara walichokifanya England ni kukubali kuishia nafasi ya pili nyuma ya Belgium wakamkwepa Brazil ama sivyo wangekuwa home sasa hivi. Lingine ni bahati ya kuondoa nuksi ya penalties vs Colombia. Kwa sasa nadhani wataingia fainali lakini kumfunga Belgium or France itakuwa ni vigumu. Jamani hata kama hatuwafagilii tuwape credits wanapofanikiwa.
 
Hii thread badala ya World Cup imejaa uswahili wa Kitanzania na mapenzi maandazi...kwaherini, nawatakia kila la heri..
Naona zile ndoto zako za England kutoka round ya 16 bora zimeyeyuka ghafla haahaha[emoji1] [emoji1]

Mmeumbuka si kitoto
 
Naona zile ndoto zako za England kutoka round ya 16 bora zimeyeyuka ghafla haahaha[emoji1] [emoji1]

Mmeumbuka si kitoto
Vipi umelewa...ndoto zangu zipi au unanifananisha! Kwa timu zilizobaki niko na England na Ufaransa, vipi wewe! Timu zenye weusi wengi ndiyo timu zangu!
 
Hii thread badala ya World Cup imejaa uswahili wa Kitanzania na mapenzi maandazi...kwaherini, nawatakia kila la heri..
'Foreign coaches treated like demi-gods'

No country has ever won the World Cup with a foreign coach. But few African nations put their faith in local coaches.

At the 2018 World Cup in Russia, Senegal and Tunisia were the only teams from the continent to go local.
====
Tunataka timu yetu ya Taifa sasa ishikwe na Kocha mzalendo ili twende Quatar, 2022. Unasemaje, Mwalimu wangu katika hili.
 
CHUKUA HIYO

PEP GUARDIOLA

2008 - 2012 BARCELONA, and SPAIN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2010..

2013 - 2016 BAYEN MUNICH, and GERMAN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2014...

2016 - HADI SASA MANCHESTER CITY,,

JE ENGLAND NDIO WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2018..???
 
footballl is coming home... mpira unarudi ulipogunduliwa.. waingereza oyooo wanatuburudisha sana na epl yao.. acha wa win
 
Kuna watu humu wanashabikia timu eti because ina weusi wengi...alafu cha kushangaza timu hiyo hiyo iliyosheheni weusi wenzetu wakikutana na Tunisia ama Morocco..mibongo inajifanya kuwa upande wa france wakati hizo timu zipo afrika na ni ndugu zetu kabisa. Hizi ndiyo akili za wabongo huwa zinafikiria viseversa all the tme 😀
Hivi huna habari kwamba hizo nchi mbili, Tunisia na Morocco, ni katika zile nchi za Kiarabu zilizokuwa zikitafuta namna ya kujitoa barani Africa na kuungana na Waarabu wenzao? Hawataki kuwekwa kundi moja na Waafrika weusi. Umewahi kusikia ushirika wa nchi unaoitwa MENA? Usilolijua ni kama gunia la msumari!
 
Kucheza dhidi ya Taifa lako ulilolitumikia kwa uaminifu , huku ukihitaji kuwafunga na kuwatoa kwenye mashindano si jambo rahisi.

Thiery Henry ni miongoni mwa wachezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa waliotwaa kombe la dunia , lakini leo atasimama kama kocha msaidizi wa Ubelgiji huku akisimamia shoo ya kuing'oa France mashindanoni.

Hii imekaaje wakuu ?
 
Tutauona mpambano, kweli si uongo
 
Back
Top Bottom