Giroud hatabiriki na ni ngumu kueleza kwanin yupo kikosini .... tutaona baadae.Teh teh teh nimeamua kujitoa mhanga nina Imani na vijana wangu akina Kante pogba Nadhani watawadhibiti vilivyo De Bruyne,Lukaku na Hazard na kazi itakuwa imeisha.Huku Dogo Mbape akiendelea kuleta shida pale mbele,ila Giroud Huwa simuelewi elewi
Ila mwaka huu wamezingua sio siriHahahaaa. Hii kali Seten hivyo nyie kutolewa mashindanoni ndio maajabu? lol.
Leo nitatupia posts Kwa fujo usiku najua wengi mtalala na viatu mtakuwa mnasoma tu posts Kwa mbali kama hamuoni Ila muwe mnalike kuonyesha uwepo wenuEwaaaaaaa. Mwambie mwambie bora leo asiwe na timu leo. Hahahaaaa.
Ndio mkuu nimeona hizo arrows.Nimeoanisha kila kitu, isipokuwa hatua ya mshindi wa 3 tu
Giroud anawachezesha Mbappe na Griezman.Giroud hatabiriki na ni ngumu kueleza kwanin yupo kikosini .... tutaona baadae.
Umenena vyemaUkiangalia nchi/timu zote zilizochukua kombe la dunia, utagundua kuwa kulikuwa na ile inaitwa golden generation. Kwa mfano brazil ile ya kina pele % kubwa ni walewale ndio walichukua kombe mara zile tatu. Kina Didi, Vava, Pele, Garincha Zagalo n.k.
1978 Argentina wanachukua kombe wakiwa na kizazi cha dhahabu, kina Valdano, Burcharga na 1986 wanarudia wakiwa wameongeza mastaa kibao akiwepo Diego Maradona, na Caniggia.
1990 Ikawa kama hii ya 2018 timu kibao zilienda zikiwa ma mastaa kibao. Uingereza ya Shilton, Paul Parker, Peter Birdslay, Terry Butcher, Chriss Wadle, Garry Liniker na wengine.
Ujerumani ya Ruddy Voller, Klinsmann, Andreas Brehme, Lother Matheus nk.
Argentina ya Maradona, Ganigia, Valdano, Burchagga nk
94. Brazili ya wakali kina bebeto, Cufu,Romario,, Leonardo, Aldair marius Santos, Captain Dunga, Mazinho, Mauro Silva, Rai nk.
98. France ya Zizou, Lizarazu, Desaily, Libouf, Deschamp, Karembeu,Viera na kina Hendry.
2002. Brazili ya kina Di lima, GAUCHO, Rivaldo nk
2006. Italia ya Pirlo Canavarro, Gatuso, Zambrota na wakali kobao. Fabio Grosso na Vincenzo Ianquitta.
2010. Spaini hii ndio ilikuwa nuksi. Kila mtu analijua hilo. Spain hii ilichukuwa euro 2008, ikachukua world cup 2010, na euro tena 2012. Mastaa kibao Xavi,Iniesta,Puyol,Avid Villa nk.
2014. Germani ya Khadera, Ozil, Gotze, Muller, closer, na nyota kibao.
Sasa 2018. Nchi zenye mastaa na walipewa nafasi ya kushinda ni Brazil, Belgium,France, Argentina na German ambao %kubwa ndio walishinda 2014. Baadhi zimeondolewa. Zilizobaki ni france na Belgium. England ina nyota lakini hawafikii hata wa croatia.
Kwa maoni yangu nusu fainali hii mshindi kati ya france na belgium ndio ataibuka mikono juu. England watapata tabu sana kwa croatia. Na nina uhakika watatolewa maana watakuwa na pressure kuliko Croatia.
Maelezo mazuriUkiangalia nchi/timu zote zilizochukua kombe la dunia, utagundua kuwa kulikuwa na ile inaitwa golden generation. Kwa mfano brazil ile ya kina pele % kubwa ni walewale ndio walichukua kombe mara zile tatu. Kina Didi, Vava, Pele, Garincha Zagalo n.k.
1978 Argentina wanachukua kombe wakiwa na kizazi cha dhahabu, kina Valdano, Burcharga na 1986 wanarudia wakiwa wameongeza mastaa kibao akiwepo Diego Maradona, na Caniggia.
1990 Ikawa kama hii ya 2018 timu kibao zilienda zikiwa ma mastaa kibao. Uingereza ya Shilton, Paul Parker, Peter Birdslay, Terry Butcher, Chriss Wadle, Garry Liniker na wengine.
Ujerumani ya Ruddy Voller, Klinsmann, Andreas Brehme, Lother Matheus nk.
Argentina ya Maradona, Ganigia, Valdano, Burchagga nk
94. Brazili ya wakali kina bebeto, Cufu,Romario,, Leonardo, Aldair marius Santos, Captain Dunga, Mazinho, Mauro Silva, Rai nk.
98. France ya Zizou, Lizarazu, Desaily, Libouf, Deschamp, Karembeu,Viera na kina Hendry.
2002. Brazili ya kina Di lima, GAUCHO, Rivaldo nk
2006. Italia ya Pirlo Canavarro, Gatuso, Zambrota na wakali kobao. Fabio Grosso na Vincenzo Ianquitta.
2010. Spaini hii ndio ilikuwa nuksi. Kila mtu analijua hilo. Spain hii ilichukuwa euro 2008, ikachukua world cup 2010, na euro tena 2012. Mastaa kibao Xavi,Iniesta,Puyol,Avid Villa nk.
2014. Germani ya Khadera, Ozil, Gotze, Muller, closer, na nyota kibao.
Sasa 2018. Nchi zenye mastaa na walipewa nafasi ya kushinda ni Brazil, Belgium,France, Argentina na German ambao %kubwa ndio walishinda 2014. Baadhi zimeondolewa. Zilizobaki ni france na Belgium. England ina nyota lakini hawafikii hata wa croatia.
Kwa maoni yangu nusu fainali hii mshindi kati ya france na belgium ndio ataibuka mikono juu. England watapata tabu sana kwa croatia. Na nina uhakika watatolewa maana watakuwa na pressure kuliko Croatia.
kabisaaa, tupo pamoja mkuu.Yaa France atakutana na England kuchuana kusaka mshindi wa tatu
Yeah, ila jamaa ni mzito sana.Giroud anawachezesha Mbappe na Griezman.
Wee acha tu Hajar hata Taifa Stars ikifungwaga siumii kama ninavyoumia ikifungwa Brazil, kweli mpira hauna mipaka ya kijiografia
Yaa France atakutana na England kuchuana kusaka mshindi wa tatu
Belgium anapita,
Hee Hajar! Kombe la Dunia kwani bado lipo? Mi kwangu lilisha kwisha mbona
Hahahaaa. Mie huwa sipendi kuchanganya kuangalia na kuandika hivyo Mkuu we tupia tu posts zako ila kesho asubuhi mie nitakuwa wa kwanza kukutembezea dole gumba kwenye kila Post Mkuu.Leo nitatupia posts Kwa fujo usiku najua wengi mtalala na viatu mtakuwa mnasoma tu posts Kwa mbali kama hamuoni Ila muwe mnalike kuonyesha uwepo wenu
Argentina kutolewa ilikuwa ni halali kabisa kwanza nilishangaa.kwanini kaenda raundi ya pili .Argentina ilibidi aishie makundi tuBaada ya Argentina kutolewa binafsi ladha imepungua sana tena sana...kwa brazil ni kawaida tu ni kama australia na panama
Hata hao Simba ninaoambiwa nilipokua mdogo nilikua nalia ikifungwa hawanijui, ni mapenzi ya mchezo wenyewe wala haviusiana na utaifa na wala suo upungufu wa uzalendoLakini wao hawakujui..yani hawamjui mtu anayeitwa Sesten Zakazaka..
Hahahaaa. Kaka watonesha kidonda cha Sesten ujue. [emoji12] [emoji12]Baada ya Argentina kutolewa binafsi ladha imepungua sana tena sana...kwa brazil ni kawaida tu ni kama australia na panama
Heeeee. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Argentina kutolewa ilikuwa ni halali kabisa kwanza nilishangaa.kwanini kaenda raundi ya pili .Argentina ilibidi aishie makundi tu