Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

We ISIS nini tena bwana? hebu piga dua kidogo basi mkuu! najua unakubaliana na mimi ni basi tuu unaogopa Bashiru asije kutembelea hapa na daftari la wapiga kura kama alivyokuwa ametumwa mjengoni ambako akamuorodhesha mpaka Kabudi wakati yuko Hospitali
 
Team France mupoooo?
Ila naumiaje jamani maana najua hakika leo kipenzi changu De Bruyne na Belgium wanatolewa ila ndio sina namna sasa.
Ufaransa kwanza [emoji1434]

Na kinachoniuma zaidi ni kuona kombe la Dunia linaishia kwenye mechi ya leo.
Eeeh,sasa kama France au Belgium wanakutana leo kuna fainali gani ya kusisimua? England vs France? No
Croatia vs France? No
Dah!
Waliopanga makundi walaaniwe.
 
Tuache hii kwanza

Umeona tumemsajilo banka kutuoka mtibwa sukari?
 
Kumbe unajua mpira, sema usiwe na wasiwasi matokeo mi nishayaona. Belgium 1 - 0 France
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…