Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Naunga mkono hoja kwa 1000%. Belgium washinde tu maana wametutibia mgonjwa wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UshindweNasikia Mdude umepangiwa route ya Dar-Mumbai( kupeleka Wagonjwa) na kuleta WATALII FROM MUMBAI.
We ISIS nini tena bwana? hebu piga dua kidogo basi mkuu! najua unakubaliana na mimi ni basi tuu unaogopa Bashiru asije kutembelea hapa na daftari la wapiga kura kama alivyokuwa ametumwa mjengoni ambako akamuorodhesha mpaka Kabudi wakati yuko HospitaliUshindwe
Ooh. Sawa mdogo wangu.Yaani finger crossed my dada. Nawakubali wote ila France nawashangilia kwa vile ni weusi wenzangu
Wacha tushindane leoOoh. Sawa mdogo wangu.
Mie niko Belgium kwa kweli.
Hahaaa. KabisaaaaWacha tushindane leo
Tuache hii kwanzaTeam France mupoooo?
Ila naumiaje jamani maana najua hakika leo kipenzi changu De Bruyne na Belgium wanatolewa ila ndio sina namna sasa.
Ufaransa kwanza [emoji1434]
Na kinachoniuma zaidi ni kuona kombe la Dunia linaishia kwenye mechi ya leo.
Eeeh,sasa kama France au Belgium wanakutana leo kuna fainali gani ya kusisimua? England vs France? No
Croatia vs France? No
Dah!
Waliopanga makundi walaaniwe.
Tuache hii kwanza
Umeona tumemsajilo banka kutuoka mtibwa sukari?
Kumbe unajua mpira, sema usiwe na wasiwasi matokeo mi nishayaona. Belgium 1 - 0 FranceTeam France mupoooo?
Ila naumiaje jamani maana najua hakika leo kipenzi changu De Bruyne na Belgium wanatolewa ila ndio sina namna sasa.
Ufaransa kwanza [emoji1434]
Na kinachoniuma zaidi ni kuona kombe la Dunia linaishia kwenye mechi ya leo.
Eeeh,sasa kama France au Belgium wanakutana leo kuna fainali gani ya kusisimua? England vs France? No
Croatia vs France? No
Dah!
Waliopanga makundi walaaniwe.
Argentina kutolewa ilikuwa ni halali kabisa kwanza nilishangaa.kwanini kaenda raundi ya pili .Argentina ilibidi aishie makundi tu
Kila timu aliyokuwa anacheza nayo anastruggle kupata ushindi hata kama ni timu ndogo. Hakustahili kwakweli kufika popoteMchezo wao haukuwa mzuri nikweli wala sikatai...
Kumbe unajua mpira, sema usiwe na wasiwasi matokeo mi nishayaona. Belgium 1 - 0 France
Hahahaaa, Dah! Umewashusha sana Brazil
Dada nifah umepotelea wapi? Nimekumiss sana...vipi mumeo habibu hajambo?
Pamoja sana mkuuHahahaaa poleni sana kamanda...next time Mwenyezi Mungu akitupa uzima..mwenyewe nimeumia sana kwa albiceleste....but hakuna namna kamanda wangu
sikimbii ndugu, amini amini nakwambia... sana tu [emoji4].
Ngoja tuone Mkuu,usikimbie tu baada ya kutolewa japo sitoshangilia Belgium kutolewa.
Because of you, just because of you I will support France tonight.In France i strust [emoji134]