Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mi nashangaa sana, sijui kwanini nashindwa kuacha kuishabikia england
Hahaha Mkuu umenifurahisha sana.

Nina rafiki yangu mmoja mpenda soka yeye kila kombe la dunia ni England,juzi alikuwa ananambia kikosi kimeiva hivyo anamatumaini.Wakati mwingine kutazama sana ligi yao inafanya watu waipende timu yao taifa hata kama si kwakusema wengine huiombea kimoyomoyo katika mashindano mbalimbali.

Mimi mwaka 2002 nilikuwa bwana mdogo hivyo sikuwa na timu nilikuwa nipo nipo tu.

Mwaka 2006 nilikuwa na Portugal(ureno) Cr7 na figo walinivutia huku Cr7 akiwa katika club yangu Pendwa Man united.

Mwaka 2010 nilikuwa sina timu nilikuwa nipo nipo natazama huku na huku.


Mwaka 2014 nilikuwa Brazil huku nikivutiwa na uchezaji wa bwana neymar,mpaka sasa namfatilia sana neymar style yake ya uchezaji naikubali.

Mwaka huu 2018,nakwenda na Croatia na Brazil.

Brazil na croatia naamini watanifurahisha...Africa timu zote naziombea makubwa.
 
Leo Nimeingia Kwenye Bikosports Nikakuta Argentina Friend Match Eti Argentina Kapewa Point (1.63) Na Away Kapewa Point 63 Duh! Kweli King Messi
 
Oi Humu Mbona Mnapotea, Hamjui Urusi Bado Kidogo.?
 
I Write "Urusi" Right Now

%____%
%____%
%%%%


_________
%%%%
%___%
%%%
%____%
%____%
%_____%


_________ %____%
%____%
%%%%

__________
% %%%
%
%%%%
_____%
%%%%

____________ %
%
%
%
 
"Mimi Mtata JF+ Nzima Hakuna Mtu Kama Mimi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…