Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

haa haa mbona mimi leo team Belgium na sijaona handsome yoyote mule!!!
ila kuna ka ukweli fulani...nilijikutaga naishabikia colombia kisa Rodriguez
[emoji16]mimi mwenyewe siku ya France na Uruguay nilijikuta nipo ufaransa kisa mkaka mmoja hivi sijui anaitwa nani ila alifunga goli la pili mambo haya yapo kwa wanawake wengi
 
Nipo Mkuu,hajambo.
Pole sana kwa Argentina yako kutolewa najua umeumia sana.
Japo sikuziona juhudi zenu za dhati kwenye kombe hili,sio kwa kocha yule kichaa

Nashukuru sana Nifah..kocha amechangia kwa kiasi kikubwa kuivuruga timu. Kacha gani anajichora matatoo 😀😀😀
 

...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…