Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hapa Kante hapa Pogba,Mbape ndani Griezman yupo unaanzaje kumfunga Ufaransa.Kilichoicost Brazil siku ile ni Kila mchezaji kucheza kivyake,Belgium ilikuwa ni ngumu Kwao Leo kupita,japo mechi ilikuwa ngumu
 
Hivi mbappe hana kadi mbili za njano kweli??
Match iliyopita hakupewa kadi?
Fainali atacheza kweli
 
INAMSUBIRI MSHINDI KATI YA CROATIA NA UINGEREZA
Bao la beki Samuel Umtiti (dakika ya 51) imetosha kuifikisha Ufaransa fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya tatu (1998, 2006 na 2018).

Griezmann: Gari la Usafiri Ufaransa
Amechangia mabao 5 muhimu Ufaransa
Sio kwa pasi, au kwa goli, kila hatua ya Ufaransa, ina mchango wa Griezmann.

Achia mbali Mbappe, nyota huyo, hukiuka kimo chake na kubadili mchezo.

Mengi zaidi ni Jumapili ijayo mjini Moscow kwenye fainali wakati atazidi kuonyesha kwa nini amekabidhiwa majukumu ya kuibeba Ufaransa!

Mtaka yote, hu-Henry yote!
Mfaransa aliyekuwa naibu meneja wa Ubelgiji
Taifa lake 'alipozaliwa' limetua fainali.

Waajiri wake ' Ubelgiji' wametemwa nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…