Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Wachambuzi wa mpira bongo ni waongo sana, hawajui kuchambua, wanachojua ni kukariri historia ya mpira tu. Mchambuzi anayeaminiwa kabisa amekaa kwenye TV halafu anasema Belgium anaweza kumfunga France.

Japo Belgium ni timu nzuri, lakini kwa aina ya mchezo wao ilikuwa ni dhahiri wanafungwa ukilinganisha aina ya mchezo wanaocheza France.

Tukutane kesho.
Hapa Kante hapa Pogba,Mbape ndani Griezman yupo unaanzaje kumfunga Ufaransa.Kilichoicost Brazil siku ile ni Kila mchezaji kucheza kivyake,Belgium ilikuwa ni ngumu Kwao Leo kupita,japo mechi ilikuwa ngumu
 
Hivi mbappe hana kadi mbili za njano kweli??
Match iliyopita hakupewa kadi?
Fainali atacheza kweli
 
INAMSUBIRI MSHINDI KATI YA CROATIA NA UINGEREZA
Bao la beki Samuel Umtiti (dakika ya 51) imetosha kuifikisha Ufaransa fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya tatu (1998, 2006 na 2018).

Griezmann: Gari la Usafiri Ufaransa
Amechangia mabao 5 muhimu Ufaransa
Sio kwa pasi, au kwa goli, kila hatua ya Ufaransa, ina mchango wa Griezmann.

Achia mbali Mbappe, nyota huyo, hukiuka kimo chake na kubadili mchezo.

Mengi zaidi ni Jumapili ijayo mjini Moscow kwenye fainali wakati atazidi kuonyesha kwa nini amekabidhiwa majukumu ya kuibeba Ufaransa!

Mtaka yote, hu-Henry yote!
Mfaransa aliyekuwa naibu meneja wa Ubelgiji
Taifa lake 'alipozaliwa' limetua fainali.

Waajiri wake ' Ubelgiji' wametemwa nje!
 
IMG_20180704_165003.jpg

Kipande cha tatu kimekatika.

Belgium ni timu ambayo imepoteza mechi moja tangu miachuano hii ianze. Pia ndio itakuwa mshindi wa tatu.

France itabeba ndoo hii, tangu awamu 4 za WC zipite baada kuibeba 1998.

Hongera sana France.
 
Back
Top Bottom