Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Alafu unakuta wanashabikia club za England lkn timu ya taifa full unafki
 
huyu coach wa england ana historia gan kwan? Katokea wap? Maana hapa mambo yalipofkia nimecha kumchukulia poa poa. Inanipa matumain pengne hata sizonje anatupeleka pazuri
 
Alikuwa ni beki wa Middlesbrough na timu ya taifa, alikuwa ni kocha wa timu ya vijana ya England..... anakuwa ni kocha wa pili katika historia ya England kuwapa kombe la dunia
 
huyu coach wa england ana historia gan kwan? Katokea wap? Maana hapa mambo yalipofkia nimecha kumchukulia poa poa. Inanipa matumain pengne hata sizonje anatupeleka pazuri
Alikuwa kocha wa timu za vijana za Taifa kwani sizonje amewahi kuwa hata balozi wa ccm mahali kwamba anakijua chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…