[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba mkwe si unajua sina team moja list yangu umeiona sidhani kama team zote hizo zitaniumiza
Team Wanyatiaji:
1. German
2. Egypt.
Welcome to Argentain hautojutia, kuna nyota wengi wanaocheza nje tofauti na tim zingine,, wana jezi nzuri kuliko jezi yoyote ile, wana jina zuri la tim kuliko tim yeyote ile,, wana mfalme wa soccer kuwahi kutokea and a little magician Paulo Dyabala...karibu huku my ukhti!
Mkuu hapana
Wewe si myahudi bwana π
jipe moyo utayashindaBado siku nne mtanange uanze. Naona kama host team wataishi round ya kwanza.View attachment 799541
Team Germany [emoji629]
Wadada wengi mnaipenda Germany πππ
Argentina moja..
Argentina
Germany
Spain
France
Belgium
Akina dada wanajua vitu vingi vizuriWadada wengi mnaipenda Germany πππ
Argentina moja..
Argentina
Germany
Spain
France
Belgium