numbisa utanimalizia GB zangu ujuee,,
sifungui huu uzi tena [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji102]
At least you have a shoulder to cry on, thank me later.Mie kwangu furaha tupu leo nakuhurumia wewe shabik wa Croatia [emoji23]
iko poa sanaaa naikubali sanaa,,
weka magoli tuu, la sivyo naukimbia huu uziii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya naacha bana
weka magoli tuu, la sivyo naukimbia huu uziii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya poa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Will Smith ni mwana music.?
Hii sio intentional hata kidogo, kuna mtu mbele, aliuonaje mpira?? Hovyo kabisa var!Goal france 2 vs croatia 1
Pole.Mimi siufaidi vizuri leo nipo job hapa nina anglia kwenye simu kwa kutumia Sonylive stream network inasumbua balaaaaaaa.
Lipi hilo kamandaGoli la kikatili sana
France wasipopata goli la tatu mapema gololi zangu hazitapona. maana hata HT nimeziminya.
Mkuu VP hiyo mechi uliishihudia.Mchezo wanaoucheza Croatia ndio kama ule walioucheza England mwaka 1966 hadi wakachukua kombe. Ni mchezo wa nguvu ambapo unahakikisha hukosi ama mpira au mwenye mpira. Walimfanya Pele ashindwe kabisa kumudu mchezo kwani hawakumpa kabisa nafasi ya kuonesha ufundi wake hadi ikabidi atolewe. Kocha wa England aliwaambia wachezaji wake wahakikishe Pele hapiti akiwa na mpira...ama yeye au mpira!