Hilo nakubali mkuu mpira wamecheza ila kumfunga france ni ngumu mno ilikuwa kwa sababu france alikuwa na wachezaji kibao wa kubadili mchezo na mfumo wa uchezaji angalia bench lao na hiyo kitu ndo ilinifanya nione wanashindaIla mkuu croatia imepiga mpira tuwe wakweli ila ni mistake chache tu zimewacost ila france alizidiwa kila sekta hasa midfield
Hahahaha huyo tena achaga tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pogba bana kapagawa
Thanks loveAsantee baby [emoji23][emoji23]View attachment 810190
ARGENTINA WOTE TUJUANE
MFALME MESSI NDIO KOMBE LAKE HILI
Huyo **** hajui hata dunia inaendaje. System zilienda chaka sana kuruhusu hicho kituko kukalia kiti hapo Magogonikwa taarifa nlzopata maguful anashabikia ufaransa ...wafanyakaz msubirie
Sio mchezaji bora ni mchezaji bora mweny umri mdogoMbappe anaondoka na mpira wa dhahabu. Mxhezaji bora wa mashindano. He deserve.
ILIKUWA LAZIMA CROATIA WALIKE TUHawaupigi mwingi France ila ukomavu wao na uzoefu wao ni technique muhimu ya kuwala Croatia.
..KUMBU KUMBU
Washindi FIFA WC
France-1998
Brazil-2002
Italy-2006
Spain-2010
Germany-2014
France-2018
(Jaza nafasi iliyowazi) nimeijaza sasa hivi
Germany again
Historia inaonesha toka 1998 hadi 2014, hamna timu iliyojirudia kushida FIFA WC isipokuwa zimejirudia kucheza fainali miongoni ni France, sasa Germany sidhani kama itaweka historia au la.
Brother haupo safe kiasi hicho. Usiandike kwa ushabiki mbele za watu utakua cello pekee ako.Huyo **** hajui hata dunia inaendaje. System zilienda chaka sana kuruhusu hicho kituko kukalia kiti hapo Magogoni
[emoji41] [emoji41] [emoji41]TEAM FRANCE KAMA WEWE KM MIMI GONGA LIKE