radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Hilo nakubali mkuu mpira wamecheza ila kumfunga france ni ngumu mno ilikuwa kwa sababu france alikuwa na wachezaji kibao wa kubadili mchezo na mfumo wa uchezaji angalia bench lao na hiyo kitu ndo ilinifanya nione wanashindaIla mkuu croatia imepiga mpira tuwe wakweli ila ni mistake chache tu zimewacost ila france alizidiwa kila sekta hasa midfield