Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Ila mkuu croatia imepiga mpira tuwe wakweli ila ni mistake chache tu zimewacost ila france alizidiwa kila sekta hasa midfield
Hilo nakubali mkuu mpira wamecheza ila kumfunga france ni ngumu mno ilikuwa kwa sababu france alikuwa na wachezaji kibao wa kubadili mchezo na mfumo wa uchezaji angalia bench lao na hiyo kitu ndo ilinifanya nione wanashinda
 
Mtoto mzuri anitafute tutumbue maisha
IMG-20180715-WA0009.jpg
 
Alianza Pogba akafunga akaja verane akafunga mara Umtiti nae kafunga sasa huyu jirudi (giroud )ni mfumo mbaya au nini maana hata la offside hakuna!
 
Huyo **** hajui hata dunia inaendaje. System zilienda chaka sana kuruhusu hicho kituko kukalia kiti hapo Magogoni
Brother haupo safe kiasi hicho. Usiandike kwa ushabiki mbele za watu utakua cello pekee ako.
 
Back
Top Bottom