Ukiushika mpira ukiwa unaangalia upande mwingine kamwe haiwezekani kuwa penalt. Mbeleko kwa mwenyeji hii.
tatatizo ni kuwa mkono umeuia mpira kwenda goliniHii penalty ni ya upendeleo
Welcome back swahibaUmesema kweli Mkuu,penalt hii inanikumbusha waliyopewa Iran vs Portugal.
Haikuwa sahihi kabisa
yeah ni mzito...i guess ni kusaabu ya urefu wake....Mie namuona mzito,mpira anaucheza kibishoo.
Anajua kwa kiasi chake ila sio kwa sifa anazopewa.
Jana nimemind ile free kick aliyoenda kupopoa nayo maembe,angeachiwa mkali Griezman yangekuwa mengine.
Na nyie mnafuatilia mpira???? Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie namuona mzito,mpira anaucheza kibishoo.
Anajua kwa kiasi chake ila sio kwa sifa anazopewa.
Jana nimemind ile free kick aliyoenda kupopoa nayo maembe,angeachiwa mkali Griezman yangekuwa mengine.
Ivi huwaoni wale Camera man anaowazoom kule Russia....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaman sasa na wew madam unafuatilia mpira????? Hii sio haki kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jaman sasa na wew madam unafuatilia mpira????? Hii sio haki kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
how?Hapana, iko sahihi kabisa mkuu
Kwa bongo hii sio kawaida,,,, sio utamaduni wetuIvi huwaoni wale Camera man anaowazoom kule Russia....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tatatizo ni kuwa mkono umeuia mpira kwenda golini
[emoji121]how?
lakini hakua ame face mpira ulipotokea[emoji121]
Welcome back swahiba
Dunia ishabadilika mkuuKwa bongo hii sio kawaida,,,, sio utamaduni wetu
Hadi unamjua Pogba,, et ile free kick aliyopiga pogba nimemind,,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nimenyoosha mikono,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazingua Mkuu.
[emoji120]Thank you dearest friend,nafurahi kuonana nawe tena hapa.
yeah ni mzito...i guess ni kusaabu ya urefu wake....
Pogba is overatted some how... But ana talent kubwa..Lukaku,Pogba ni overrated,sijaona makali yao kulingana na sifa wanazopewa.
Diego Costa baada ya kufunga magoli mawili mechi yao ya kwanza akamtukana kocha wake hana ajualo baada ya kumtoa,aiseeee!