Na nyie mnafuatilia mpira???? Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu martial anasemaje??Warusi hawa wamechokoza nyuki, sasa watapata tabu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kama kombe linachezewa nchini mwako mkifungasha mabegi mnaelekea wapi ?
Hadi unamjua Pogba,, et ile free kick aliyopiga pogba nimemind,,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nimenyoosha mikono,,
Hivi kama kombe linachezewa nchini mwako mkifungasha mabegi mnaelekea wapi ?
Ila asilima 80%hii game Spain anashindaIle penalt imeifanya hii game ianze kushabiana na ile ya south korea vs italy 2002 full mapichapicha
hi sweerie...karibu tena[emoji173]Sure.
Hello Scorp [emoji1423]
[emoji122]spain wanaweza wakatolewa muda wa nyongeza kwa penalty
Hivi kama kombe linachezewa nchini mwako mkifungasha mabegi mnaelekea wapi ?