Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hadi unamjua Pogba,, et ile free kick aliyopiga pogba nimemind,,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nimenyoosha mikono,,

Mkuu wewe utakuwa mgeni kwangu au umenisahau,wadau wa humu wanaonijua wala hawatoshangaa.
 
tokea michuano ya kombe la dunia ianze timu ya spain wamepigiwa mashuti 7 yaliolenga goli na wameruhusu magoli 6.
shuti mbili kati ya hizo ni penalty.
ina maana david degea quintana ameokoa shuti moja tu.
common russia mpira ukimpita sergio bosquet tunahesabu goli.
938856690.jpg
 
Najua world cup imeanza bila JF kuwepo..

Tukutane hapa tupeane updates mbalimbali kuhusu world cup..

Spain V Russia.

Mpaka sasa dakika ya 55 goli 1:1
 
Russia wamekaza kuliko nilivyodhani! Kwa jinsi mambo yanavyokwenda lolote laweza kutokea na sitoshangaa Spain wakitolewa.
Ila hata Russia wakitolewa heshima yao nawapa,wamepambana [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
 
Back
Top Bottom