Ngoja tuoneMimi pia naona dalili za penalti kabisa
Ngoja tuone
Naona kila mmoja kafunga mkanda ipasavyoKabla ya penalty timu yoyote ikipigwa kimoja ndio bye bye
Asante kijanakama kuna mtu kala pesa ya muhindi leo bhasi nampa hongera sana maana sio kwa suruhu hizi.
ni hatari sanaHili lijamaa linalorusha kama kona makwapa yake sijui yakoje
Asante kijanaView attachment 800349
Naona croatia anaondoka hii kwa mujibu wa akili zangu.Xtra tme dk 15 za mwanzo naona Denmark wana moto
Dah, 15 dk zimekatika, ila tungojeeNaona croatia anaondoka hii kwa mujibu wa akili zangu.
yapMpira dk 130 mshnd lazma apatikane tu