Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hapana mkuu watu wanazarau timu za Scandinavia dernmak, sweeden na swzland wapo vizuri Sana
Jambo la kukumbuka ni kuwa kwenye world cup timu zote zina uwezo unaokaribiana, ila details ndogo ndogo ndiyo huamua mshindi. Kwa mfano ukiangalia kiwango cha Brazil na Sweden havipishani sana lakini inapokuja kwenye mechi Brazil wana vitu vidogo vidogo ambavyo ndivyo vinawafanya wapewe nafasi. BTW jaribu kuandika vizuri majina ya nchi za wengine. Wenzako wako makini na hawangependa uhamishie ukilaza wako kwenye majina ya nchi zao.
 
Hapana mkuu watu wanazarau timu za Scandinavia dernmak, sweeden na swzland wapo vizuri Sana
katika mataifa hayo naon awana mioyo yakujituma zaidi pengine panaweza kuwapa kitu ila sitaki kuwapa nafasi sana ya mafanikio.
 



Jf Bana hahahaha! Constructive criticism ya Africa.
 
Post yangu ya kwanza JF baada ya mwaka mmoja kupita!
I miss everything... especially marafiki zangu vipenzi na huku mpirani hahaaaaa.

Anyways,baada ya kipenzi changu Cr7 kutoka jana imebidi nichepuke kwa France na Croatia.
Hello JF [emoji1423]
Happy to see you here. Miss you.
 
sioni mtu akizungumza kuhusu japani,Columbia, Mexico na mrusi mwenyewe watu mnatazama ukali wa kikosi na wachezaji wenye majina.

jiulize mpaka sasa timu ngapi kubwa zenye majina ziko nje...





kwenye haya mashindano lolote laweza tokea
Mimi nimeongelea timu na uchezaji wao, kwanza timu nilizosema hazina majina makubwa. Ukiangalia Ufaransa na Ubelgiji vizuri utagundua kuwa washambuliaji wake ni fast sana na wana accuracy kubwa. Urusi ni fast nao nao lakini wana accuracy ndogo sana na ni rahisi kunyang'anywa mipira. Brazil inacheza staili kama ya Argentina tu, kutegemea majina makubwa lakini siyo kusukuma gozi kama tunavyolijua. Columbia na Mexico ni nguvu za soda; magoli yao ni ya kubahatisha bahatisha tu kutokana na uzembe wa opponent.

UPDATES: Nadhani niliwa-overate Belgium na kuwa-underate Japan. Leo nimeona Belgium nao wakicheza mchezo wa slow motion kama wenzao wa Ureno na Spain, wakati Japan walikuwa fast fast. Baada ya kufungwa mabao mawili bila ndipo wakaamka na kuanza kuwa fast.
 
Mkuu kwema ???[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hauna nyota ya sheikh yahya
 
Chicharito (javier hernandez) nipigie hao wacheza samba..
 
kwaheli kati ya Belgium au Brazil mmoja anaaga mashindano anaagaje? subiri baadae
 
Hivi ni nini hasa kinafanya hata wale ambao huwa hawafuatilii mpira(ligi kama epl,laliga),kufwatilia kwa ukaribu sana michuano hii??
 
Niliwamind Mexico kwa kuifunga Germany yangu ila leo niko upande wao,sioni namna ambayo Brazil anaweza kuchomoka mbele ya hawa jamaa.
Blaki Womani [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…