Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,418
Hapana mkuu watu wanazarau timu za Scandinavia dernmak, sweeden na swzland wapo vizuri SanaLeo Croatia walipoteana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu watu wanazarau timu za Scandinavia dernmak, sweeden na swzland wapo vizuri SanaLeo Croatia walipoteana
Jambo la kukumbuka ni kuwa kwenye world cup timu zote zina uwezo unaokaribiana, ila details ndogo ndogo ndiyo huamua mshindi. Kwa mfano ukiangalia kiwango cha Brazil na Sweden havipishani sana lakini inapokuja kwenye mechi Brazil wana vitu vidogo vidogo ambavyo ndivyo vinawafanya wapewe nafasi. BTW jaribu kuandika vizuri majina ya nchi za wengine. Wenzako wako makini na hawangependa uhamishie ukilaza wako kwenye majina ya nchi zao.Hapana mkuu watu wanazarau timu za Scandinavia dernmak, sweeden na swzland wapo vizuri Sana
jaribu kuandika vizuri majina ya nchi za wengine. Wenzako wako makini na hawangependa uhamishie ukilaza wako kwenye majina ya nchi zao.
katika mataifa hayo naon awana mioyo yakujituma zaidi pengine panaweza kuwapa kitu ila sitaki kuwapa nafasi sana ya mafanikio.Hapana mkuu watu wanazarau timu za Scandinavia dernmak, sweeden na swzland wapo vizuri Sana
Jambo la kukumbuka ni kuwa kwenye world cup timu zote zina uwezo unaokaribiana, ila details ndogo ndogo ndiyo huamua mshindi. Kwa mfano ukiangalia kiwango cha Brazil na Sweden havipishani sana lakini inapokuja kwenye mechi Brazil wana vitu vidogo vidogo ambavyo ndivyo vinawafanya wapewe nafasi. BTW jaribu kuandika vizuri majina ya nchi za wengine. Wenzako wako makini na hawangependa uhamishie ukilaza wako kwenye majina ya nchi zao.
Penati tano mnakosaje tatu? Kipa kawabeba hawabebeki.
Kwa mpira wa leo wa croatia naiona urusi nusu fainali.
Happy to see you here. Miss you.Post yangu ya kwanza JF baada ya mwaka mmoja kupita!
I miss everything... especially marafiki zangu vipenzi na huku mpirani hahaaaaa.
Anyways,baada ya kipenzi changu Cr7 kutoka jana imebidi nichepuke kwa France na Croatia.
Hello JF [emoji1423]
Mimi nimeongelea timu na uchezaji wao, kwanza timu nilizosema hazina majina makubwa. Ukiangalia Ufaransa na Ubelgiji vizuri utagundua kuwa washambuliaji wake ni fast sana na wana accuracy kubwa. Urusi ni fast nao nao lakini wana accuracy ndogo sana na ni rahisi kunyang'anywa mipira. Brazil inacheza staili kama ya Argentina tu, kutegemea majina makubwa lakini siyo kusukuma gozi kama tunavyolijua. Columbia na Mexico ni nguvu za soda; magoli yao ni ya kubahatisha bahatisha tu kutokana na uzembe wa opponent.sioni mtu akizungumza kuhusu japani,Columbia, Mexico na mrusi mwenyewe watu mnatazama ukali wa kikosi na wachezaji wenye majina.
jiulize mpaka sasa timu ngapi kubwa zenye majina ziko nje...
kwenye haya mashindano lolote laweza tokea
Mkuu kwema ???[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1](A) In reality Kombe lipo hapa..
-Germany
-France
-Argentina
-Spain
(B) Strong competitors
-Russia(charity begins at home)
-Belgium
-Uruguay
-Colombia
-Portugal
-Brasil
(C)Unexpected poor performers
-England
-Croatia
-Poland
-MexicoT
(D)Tourist-Like teams
-All African teams
-Peru
-Saudi Arabia
-Denmark
-Sweden
-South Korea
-Panama
-Costa Rica
Nb: u can add more ....
Happy to see you here. Miss you.
Bibie kwema? tulipotezwa na mtandao ule mpera mpera wako wa hadithi bado ule ule au umepunguza makali?Nimefurahi kukuona nifah jamani za ww
Leo Croatia walipoteana
Nimeweka penye hansard kama bungeni bandiko lako hili.Team nyingine zitakazokutana quarter ni
Brazil vs Belgium
Colombia vs Switzerland