Nimefurahi kukuona tena hapa,hope ur in good health and doing well.Niko nachimba mizizi The Three Lions wapite leo jioni, Kane azidi kuuza sura.
Nimefurahi kukuona tena hapa,hope ur in good health and doing well.
Uvivu?! hahahaha! mimi si mvivu aisee,tatizo hapa box zimechanganya kiaina.Shukrani, ila nipo sana tu, wewe tu na uvivu wako wa kutembelea jamaa na marafiki
Uvivu?! hahahaha! mimi si mvivu aisee,tatizo hapa box zimechanganya kiaina.
Have a good day.Ndio kipindi chenyewe hiki, jua likipotea na OT zinapotea...endelea kumchangia Bibi.
Leo silalii...nitakunywa mpka asubuhi kusherekea hatua tuliyofika kwenda kulichukua kombe letu
Mbele ya filmino, neymar, cotinyo, Willian, marsello, filipe Luis ..
Safari yao itakuwa imeisha.
Itapendeza nusu fainali upande huu Putin akutane na Theresa May.Belgium and Russia wanakutana final
GREATEST OF ALL TIME (GOAT) ameshatoka.
Jiandae kumpokea ajae..msimu ujao anabeba europa na ligi[emoji23]GREATEST OF ALL TIME (GOAT) ameshatoka.
Itapendeza nusu fainali upande huu Putin akutane na Theresa May.
Hahahaaaaaaaa
Pole Kaka ake ndio Soka lile.
Haya niambie umehamia timu gani sasa?
Ila Mimi Team anayoipenda na kuishangilia Boyfriend wangu nitakua nae bega kwa bega [emoji4]
Baada ya Messi na cr7 kuondoka na hawa waliotangulia sasa ni zamu ya mwenyeji, Russia na baadae Denmark.View attachment 800065
Mm Argentina katoka,Japan naye kanila za uso Jana....,sahivi nimekaa kikimbizi...hawa France na Belgium walonitolea timu zangu ndo itabidi wawe opponents wangu....arghhh!![emoji35] [emoji35] [emoji1]Hakuna tim my ukhti nnayoipenda kama ARGENTINA..basi haikuwa bahati yetu. Na hata hivyo hawakuwa vizuri and coach amechangia kuivuruga timu.
Ningependa kati ya Belgium or Russia watwae π
Hata mimi nimeumia ila kocha ni mzembe,huyu Mbappe alishaonyesha kua ni threat toka mwanzo ila alishindwa kumfanyia marking! angewekewa hata midfielder mmoja atembee nae.Nimeumia sana Argentina kutolewa,, but wamekufa kiume aise
Mmh. Hapo kwa Russia sidhani Kaka.Hakuna tim my ukhti nnayoipenda kama ARGENTINA..basi haikuwa bahati yetu. Na hata hivyo hawakuwa vizuri and coach amechangia kuivuruga timu.
Ningependa kati ya Belgium or Russia watwae π