Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Argentina alikuwa keshamzimisha France ile siku....mm nilihamaki France anapataje 4 goals!!!! Timu inacheza mpira mbovu na kina Australia huko....Haka ka-mbappe walikaachia sana wakakasahau...Hii mechi ndo niliyompa Argentina uhakika wa kushinda....Sampaoli akaniangusha....Aguero siyo mchezaji wa kuanzia benchi hata kdogo....Higuain!!!????[emoji19] [emoji19] [emoji35]Hata mimi nimeumia ila kocha ni mzembe,huyu Mbappe alishaonyesha kua ni threat toka mwanzo ila alishindwa kumfanyia marking! angewekewa hata midfielder mmoja atembee nae.
Kweli kabisa mwa huu utabiri unakuwa mgumuMmh. Hapo kwa Russia sidhani Kaka.
Ila World Cup ya mwaka huu imekuwa tofauti mnooo huenda Russia akalitwaa na yeye.
Hahahaaaaa.
Believe me.....Sweden hapiti...View attachment 801534
Kama kawaida mkeka wangu unaendelea kupumua hadi kieleweke
Yaani mikeka mingi inachanika sababu unakuta yule anayepewa nafasi ndio huwa mtu anayepata taabu sana na hata ikitokea anapita basi inakuwa kwa taabu mnoo.Kweli kabisa mwa huu utabiri unakuwa mgumu
Sweeden hana ubavu wa kumsumbua Roger Federer.Believe me.....Sweden hapiti...
Hiyo ni prediction yangu tangu tarehe june 29, ndio maana Spain, Portugal ambazo nilizitabiria zishaondoka.Believe me.....Sweden hapiti...
Exactly...Sweeden hana ubavu wa kumsumbua Roger Fedefer.
OK..Hiyo ni prediction yangu tangu tarehe june 29, ndio maana Spain, Portugal ambazo nilizitabiria zishaondoka.
Kwa hiyo kwa Sweden inaweza kuondoka au kuendelea
Mmh. Hapo kwa Sweden na England hapo. Siijuuiii.View attachment 801534
Kama kawaida mkeka wangu unaendelea kupumua hadi kieleweke
Hahahaa mie Brazil na France aisee ndo ninazitegemea kwa sasaYaani mikeka mingi inachanika sababu unakuta yule anayepewa nafasi ndio huwa mtu anayepata taabu sana na hata ikitokea anapita basi inakuwa kwa taabu mnoo.
Mpaka sasa we team gani mdogo wangu?
Kwa mwenendo wa hii michuano ambapo timu kubwa kubwa zinaondoka, hatutashangaa England ikiondoka pia, tusubiri tutaona lolote litakalotokeaMmh. Hapo kwa Sweden na England hapo. Siijuuiii.
Acha tuone mdogo wangu.
Mimi pia nimewaza hvyo kwa sauti, England sijui kama ataponaKwa mwenendo wa hii michuano ambapo timu kubwa kubwa zinaondoka, hatutashangaa England ikiondoka pia, tusubiri tutaona lolote litakalotokea
Duuh! Mie kwa Brazil nitajiaminisha akichomoka kwa Belgium kwenye robo fainali.Hahahaa mie Brazil na France aisee ndo ninazitegemea kwa sasa
Kweli kabisaaa. Yaani hii World Cup ni noma sanaaaa.Kwa mwenendo wa hii michuano ambapo timu kubwa kubwa zinaondoka, hatutashangaa England ikiondoka pia, tusubiri tutaona lolote litakalotokea
Na mie naona kama ana asilimia ndogo pia.Mimi pia nimewaza hvyo kwa sauti, England sijui kama atapona
Wana promo nzuriNa mie naona kama ana asilimia ndogo pia.
Ila najiwaziaga kwa nini ligi yao huwa iko juu ila upande wa National Team ni mwendo wa tia maji tia maji?
Mwifwa na wewe ushawahi jiulizaga na ni nini sababu?