Nimeamini ngoma bado mbichi hii.Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji
Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji
Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Huyu refa mmarekani kawabeba sana, akachezeshe mls.Mbeleko imechanika. Hahaha
Hahahaha watapata taabu sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haa haa haa hakika wasipojichungaHahahaha watapata taabu sana.