SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Nimeamini ngoma bado mbichi hii.Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji
Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho