Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji

Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho
Nimeamini ngoma bado mbichi hii.
 
Trick wanayotumia Colombia ni 'kuwa frustrate England' .Hilo limewagharimu
Kwasasa wameongeza viungo na kukata mawasiliano kati ya beki na washambuliaji

Hii ngoma bado mbichi hadi kipenga cha mwisho

We jamaa ni kiboko.
 
Haa haa haa kama nawaona tim
Vilaza mlivokimbilia kwenye mashuka
 
li mina lirefu hatari.....namfananisha na usain bolt
 
Yaani ingekuwa ndio wanacheza na wajapan, hawa waingereza saa hizi wangekuwa airport .
 
Back
Top Bottom