Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mkikutana na mziki wa GERMAN au BRAZIL hamchukui Round nyingiMimi ufaransa.
timu imejipanga ile hlf kila mbabe ana mbabe wake.Nyie mkikutana na mziki wa GERMAN au BRAZIL hamchukui Round nyingi
Hahah ila Belgium umewaona mkuu?Duh sikujua Denmark ina kikosi imara hivyo...... Hakina majina sana ila kwa wafuatiliaji wa soka mtaelewa kina tactical players wengi sana nakitabiria kufika mbali sana ntakuja kufufua post yangu hii mwezi ujao
Wapi Iniesta na Silva.. Spain wako poaSijaona Kiungo ya kubishana na Spain ya BUSQUETS,ALCANTARA,KOKE,SAUL,INESTA,SILVA,RODRIGO HERNANDEZ, ISCO,
Sijaona Kiungo wa kubishana na hao jamaa dimbani
Hivi Fabregas ndio hana nafasi tena Spain?Sijaona Kiungo ya kubishana na Spain ya BUSQUETS,ALCANTARA,KOKE,SAUL,INESTA,SILVA,RODRIGO HERNANDEZ, ISCO,
Sijaona Kiungo wa kubishana na hao jamaa dimbani
Nawapenda sana Senegal ila safari hii nitawazamini Nigeria wakitoka waafrika wote narudi Ureno japo naomba tuingie hata nusu fainali
kombe tushachukua ilo ina inabidi aaanze firmino na sio miguu ya glass jesusUzi huu ni maalumu kwa wapenzi wa timu ya taifa ya Brazil katika kombe la dunia huko Urusi linalotarajiwa kuanza katikati ya mwezi ujao.
=
Karibuni "Brazil Fans"...